From Wikipedia, the free encyclopedia

Mimi nilizaliwa tarehe 2 juni, 1991 katika kijiji cha Chamhunda wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza,

Nilianza shule ya msingi mwaka 2000 katika shule ya msingi Chamhunda wilayani Ukerewe, Mwaka 2002 nikiwa darasa la tatu baba yangu alihamishwa kikazi katika kijiji cha Bugula hivyo nami nilihama pia, Mnamo mwaka 2004 nilihamia Mkoani Shinyanga wilaya ya Shinyanga (v) nikiwa darasa la tano na mwaka 2006 nilihitimu elimu yangu ya msingi. Nilibahatika kuendelea na masomo yangu ya secondari katika shule ya sekondari Pandagichiza iliyoko pia Mkoani Shinyanga (v) kwa bahati mbaya sikuweza kumaliza elimu yangu ya sekondari baada ya kujitokeza matatizo ya kifamilia.

Mwaka 2009 niliingia katika siasa nikiwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, mnamo mwaka 2012 nilikuwa mjumbe wa baraza la vijana wilaya katika wilaya ya Ilemela kupitia kata ya Kayenze.

Mwaka 2013 niliamua kujiendeleza kielimu mpaka sasa. thumb|150px|left|Nembo ya Tanzania 150px

Videos

Youtube | Vimeo | Bing

Websites

Google | Yahoo | Bing

Encyclopedia

Google | Yahoo | Bing

Facebook