From Wikipedia, the free encyclopedia

Wanyantuzu (BanaKiya) ni kundi la wasukuma katika aina nne za makundi ya wasukuma. Kama vile Bhasukuma(Mwanza), Bhanang'weli(Sengerema), Badakama(Tabora na Shinyanga) na Bhanakiya au Banyantuzu(Shimiu au Simuyu).

Wanyantuzu hupenda kutumia maneno kama S na J katika matamshi yao ya kilugha mfano. Chakula kitamu( ESilewa Sinonu au EJilewa Jinonu).

Wanyantuzu wengi ni walefu, weupe na wanameno ya kuungua japo sio wote. Napia ki asili kutokana na simulizi za wazee wa kinyantuzu nikwamba wamechanganyikana kwa kiasi kikubwa na wanyiramba, wanyaturu, wataturu na wamasai.

Wanapenda Sifa,Utani, Wanajisikia pale wanapopata fedha hata kiasi kidogo, niwabishi, wanadharau jamii zingine na kujiona wao ndio bora zaidi, Wanapendana wao kwa wao, niwatafutaji hupenda kujiita (Bachoji) ikimaanisha watafutaji. Hupenda kutambulika popote walipo kwakuongea Lugha yao kwa sauti bila woga na kujitambulisha wenyewe ni watu gani.

Wanaume wakinyantuzu wanapenda kuoa wanawake weupe, japo sio lazima Ila ni sifa kubwa. Wanapenda utajiri hivyo hujishughulisha sana na Uchimbaji wa madini, Kilimo, Ufugaji, Uvuvi na Elimu.

Majina wanayopenda kuyatumia

Videos

Youtube | Vimeo | Bing

Websites

Google | Yahoo | Bing

Encyclopedia

Google | Yahoo | Bing

Facebook